Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Karatu baada ya
kuwahutubia kwenye uwanja wa Mazingira Bora katika mji Mdogo wa Karatu
akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 5, 2016.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiondoka kwenye uwanja wa Mazingira Bora baada
ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye mji mdogo wa Karatu akiwa katika
ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 5, 2016. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni