Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wajumbe wa bodi ya Benki ya
Uchumi Commercial, tawi la Karatu kabla ya kufungua benki hiyo Desemba
5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya viongozi na watumishi wa Benki ya Uchumi Commercial tawi la Karatu
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla
ya kufungua tawi hilo Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kufungua Benki ya Uchumi
Commercial tawi la Karatu Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki
ya Uchumi Commercial tawi la Karatu baada ya kuifungua Desemba 5,
2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki
ya Uchumi Commercial tawi la Karatu baada ya kuifungua Desemba 5,
2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni