Mkuu
wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela (kushoto ) na mfanyabiashara
Geofrey Mungai wakiwa wamewapakata watoto yatima wa kituo cha Daily
Bread Life Ministres cha Mkimbizi katika Manispa ya Iringa waliokuwa
wametupwa na wazazi wao na kuchukuliwa na kituo hicho jana wakati
Mungai alipofika kukabidhi chakula na nguo za sikukuu ya Krismas na
mwaka mpya kwa watoto hao
Mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Kasesela akisalimiana na Geofrey Mungai kulia
Bw Mungai akiwa na mmoja kati ya watoto yatima wanaolelewa kituo cha DBL
Viongozi
mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja na yatima wa kituo cha
DBL kutoka kushoto ni mkurugenzi wa kituo hicho mchungaji Mpeli
Mwaisumbe , mfadhili Geofrey Mungai , katibu wa CCM Iringa , mwenyekiti
wa CCM Iringa mjini , mkuu wa wilaya ya Iringa Bw kasesela,mbunge
viti maalum Iringa Ritta kabati ,diwani Dolla Nziku
Mtoto wa mbunge Mwamoto Leah akitoa ahiadi yake ya Tsh 50000 kwa ajili ya kusaidia yatima
katibu wa CCM Iringa mjini akiahidi kuchangia yatima hao
Mbunge Kabati akiahidi kuchangia Tsh 500,000 kwa ajili ya Yatima hao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni