Ulinzi umeimarisha katika maeneo tofauti ya Uingereza kufuatia tukio la shambulizi la lori la Berlin nchini Ujerumani.
Polisi wenye silaha nzito wameonekana nje ya kanisa la Centerbury jana wakiwa na bastola za kisasa, bunduki pamoja kifaa cha kupiga shoti.
Mwanamke mmoja akiwa amesimama mbele ya polisi akiwa na mtoto wake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni