Kaimu
 Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya
 Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana  na Mvua ya Mawe  Zilizo Wakumba 
Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa
Mhandisi
 wa Maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa
 maelezo mbele ya kaimu katibu mkuu wa UVCCM na msafara wake 
walipoutembelea mradi huo wa maji ambao kati ya vituo 15 ni vituo vi8tu 
vinavyotoa na saba kwa mwaka mmoja na miezi miwili sasa vimeharibik
Kaimu
 Katibu Mkuu UVCCM  Shaka Hamdu Shaka akipata maelezo toka kwa Afisa 
Mfawidhi wa Mpaka wa Mutukula Bw.Samwel Mori wilayani Misenyi Mkoani 
Kagera alipotembelea katika mpaka huo kuangalia shughuli za kihuduma 
katika mpaka huo.
 Mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka  alipo Wasili Bukoba Mjini
Watendaji
 na wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Manispa ya mji wa Bukoba 
wakimsikiliza Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka 
alipotembelea Manispaa hiyo
Mwenyekiti
 wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndg:Yahya kateme wa tatu toka kushoto 
alipoingia na mgeni wake Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka wa 
pili kushoto katika  kiwanda cha uzalishaji maji safi  Bunena Spring 
Water katika manispaa ya mji wa bukoba wa nne kulia ni mwenyekiti wa 
UVCCM wilaya ya bukoba mjini Ashraf kazinja
Katibu
 wa UVCCM Mkoa wa Kagera  Dismas Zimbihire wa kwanza kulia akiongoza 
msafara na kumfikisha Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka 
katika eneo la uzakishaji Maji na ufungaji wa chupa katika kiwanda 
cha  Bunena Spring Water kilichopo katika manispaa ya mji wa bukoba.
Makundi
 ya Vijana wajasiriamali wakiwemo Mamalishe,bodaboda,na machinga 
walipompokea kwa shangwe na hoihoi  Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka 
alipokwenda kuwatembelea katika soko la machinjioni kwenye manispaa ya 
mji wa bukoba.
 Kaimu
 katibu wa Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliana UVCCM Mtemi 
Slyvester yaredi akizungumza na makundi ya wajasiriamali katika manispaa
 ya mji wa bukoba kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu UVCCM
 ”Nimefarijika
 saana na ziara ya mkoa wa Kagera,nimefurahi kuwakuta viongozi wa 
chama,Serikali kuu na Halmashauri za wilaya wakifanya kazi bega kwa bega
 kwa lengo la kuhudumia wananchi na kutekeleza matakwa ya sera za CCM 
zilizoainishwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020”Shaka 
alimueleza mkuu wa mkoa wa Kagera Meja jenerali Salum kijuu 
alipomtembelea ofisini kwake
”Nimekua
 nikifuatilia ziara zenu kwa karibu sana,nimeridhika na uibuwaji wenu wa
 maswala yenye manfaa,kuzindua miradi ya kimaendeleo lakini pia 
kuzungumza na wanachama wenu katika vikao vya ndani vya 
kisiasa.Changamoto mlizoziona serikali itaendelea kuzifanyia kazi na 
kupata utatuzi,tutasiliba na kuziba mianyayote inayopitisha wahamiaji 
haramu na kukomesha vitendo vya uhalifu,hatutashindwa kwa jambo 
lolote”Meja jenerali Kijuu alimueleza kaimu katibu mkuu UVCCM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni