Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wairaq
baada kuwasili kwenye ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa
katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa
Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na wapili kulia kwake ni Waziri wa
Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya Wairaq baada ya
kuwasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika
ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wasichana
wakicheza ngoma ya asili ya kbila la Wiraq wakati Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa alipowasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha, Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni