MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA NEC JIJINI DAR ES SALAAM
posted on
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao
hicho jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao
hicho jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC wakifatilia kwa makini
Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa (CCM Zanzibar) Rais wa Zanzibar
Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana pamoja na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula kabla ya kuanza kikao
hicho jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kwa kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni