Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha
Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Watatu kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha
Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Wanne kushoto ni Mkuu
wa mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi na kushoto kwake ni Mkurugenzi
Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha
Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Watatu kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa mafuta ya kula na Mkurugenzi wa
Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal (kushoto) wakati
alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta cha Meru kilichopo mjini
Singida, Desemba 12, 2016. Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani,
Mwigulu Nchemba na watatu kulia na Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti
wa CCM wa mkoa wa Singida, Martha Mlata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni