RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH WASHIRIKI IBADA YA KRISMASI KATIKA KANISA KATOLIKI (KANISA KUU LA MOYO MTAKATIFU WA YESU) MKOANI SINGIDA
posted on
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mke wake Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Misa ya Krismasi katika
Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida. Hapa wakiwa katika sala. Rais Magufuli na mkewe wakisilkiliza neno Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo
Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya kushiriki Misa ya
Krismasi katika kanisa hilo mkoani Singida Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani
Singida mara baada ya kushiriki Misa ya Krismasi katika kanisa hilo
mkoani Singida. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Baba Askofu wa Jimbo la Singida Askofu Edward Mapunda mara baada ya
Ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani
Singida. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Baba Askofu wa Jimbo la Singida Askofu Edward Mapunda mara
baada ya Ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu
mkoani Singida. Baba
Askofu wa Jimbo la Singida Askofu Edward Mapunda akimuombea na
kumbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya Ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo
Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na waumini wa Kanisa Kuu la
Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya ibada ya Krismasi Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakipunga mkono wakati wakitoka kwenye Kanisa
Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni