Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Londoluo waliomsimamisha akiwa
njiani kutoka Loliondo kwenda Longido mkoani Arusha Desemba 16,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya
Longido kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliopo
kwenye Ofisi za halmashauri hiyo Desemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa serikali na
halmashauri ya wilaya ya Longido wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere uliopo kwenye Ofisi za halmashuri hiyo Desemba 16,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Longido baada ya kuwasili
kwenye Ofisi za Halmashauri hiyo Desemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya
Wazirii Mkuu)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa
Jumanne Maghembe akiwasalimia watumishi wa halmashauri ya wilaya ya
Longido kabla ya kumwalika Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kuzungumza nao
kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo wa Julius Kambarage Nyerere Desemba
15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Daniel
Chongolo, akisoma taarifa ya maendeleo ya wilaya hiyo mbele ya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa halmashuri hiyo wa
Julius Kambarage Nyerere Desemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni