Mlipuko uliotokea kwenye soko la fataki nje kidogo ya Mji wa Mexico umeuwa watu wapatao 36, maafisa wa nchi hiyo wamesema.
Watu wengine 72 wamejeruhiwa wakati mlipuko ulipotokea kwenye soko la fataki la San Pablito lililopo kilomita 32 nje ya mji wa Mexico.
Moshi ukiwa umetanda katika eneo la soko baada ya moshi kutanda
Vikosi vya zimamoto na wauguzi vikiwa katika eneo la soko lililoteketea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni