| ||
|
Wa kwanza kulia ni Meya wa jiji la Arusha Calist Lazaro ,akifuatia na aliyeko kulia kwake ni mkuirgenzi wa Kismarty Advert,akifaria na aliyeko kulia kwake ni Dotto Kimaro siku ya uzinduzi wakampuni hiyo.iliyofantika katika ukumbi wa Asili Resort iliyopo jijini Arusha. |
Mchekeshaji Steve Nyerere nae hakubakia nyuma alikuwepo akifanya yake katika uzinduzi wa Kismarty Advert Media,.iliyofantika katika ukumbi wa Asili Resort iliyopo jijini Arusha. |
| ||||||||
Mambo
haya nayo hayakosekaniki katika hafla kama hii shampein ikifunguliwa
hapa na mmoja wa waandishi wa habari wa kituo cha TV jijini Arusha
Millan Cable Hamza Kalemela ,pamoja na mwandishi wa habari kutoka gazeti
la Mwananchi communication Zulfa
Musa.iliyofantika katika ukumbi wa Asili
Resort iliyopo jijini Arusha.Mambo yakiendelea kama uonavyo hapo
pichani
|
Na Mahmoud Ahmad Arusha. |
Ameyasema hayo katika uzinduzi wa kampuni ya matangazo inayojulikana kama Kismarty Advert Media company ltd , iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Asili Resort iliopo katika Jiji la Arusha na kuhudhuriwa na wamiliki wa makampuni mbalimbali hapa nchini.
Meya huyo amewataka wananchi kuwa na tabia ya kutangaza biashara zao kwani bila kufanya hivyo hata kama bidhaa itakuwa na uzuri kiasi gani hakuna atakayefahamu thamani yake bila kuitangaza ndipo ifahamaike.
"Jengeni tabia ya kutangaza biashara zenu na bidhaa mnazokuwa nazo ndugu zangu biasahara ni matangazo msikae kimya,ukizingatia hii ni kampuni ya kitanzania,tuache kukuza vya watu tutukuze vya kwetu ndugu zangu "alisema meya.
"Mnapoona kampuni kama hii ya matangazo ndiyo fursa yenyewe hii ya kuitumia kuzitangaza biashara zenu,ukikaa kimya hakuna mtu anayeweza kuifahamu bidhaa yako au biashara yako hata kama unauza vitu vuzuri kiasi gani" alisema Meya.
Kwa pande wake mkurugenzi wa Kismarty Advert Media Company ltd ,bi Mary Mollel amesema kuwa kampuni hiyo inapokea matangazo ya aina mbalimbali na kwa bei ambayo mteja atakayoimudu .
Hivyo amewataka wafanyabiashara biashara mbalimbali kutokuwa waoga kutangaza biashara zao kwani ndiyo njia pekee itakayowasaidia biashara zao kufahamika zaidi na kupata wateja zaidi.
"Msiwe waoga kuthubu kutangaza biashara zenu hapa tunasaidiana wewe unaleta tangazo nakutangazia kwa bei nzuri na wakati huohuo unapata wateja kwa upande wako ,kwa maana nyingine tunawezeshana karibuni sana. " alisisitiza bi Mary.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni