Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki akimsalimia mwanafunzi
Fadhili Mwidini wa shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,Mkuu wa
mkoa alifika kukabidhi madawati pamoja na kuzindua vituo vya kunawa
mikono vilivyofadhiliwa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).picha zote na
mahmoud ahmad wa globu ya jamii arusha
Mkuu
wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika akitoa ufafanuzi juu
ya vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule
ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki.
Mkuu
wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika (wapili kutoka
kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya vituo vya kunawa mikono
vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule ya Msingi Chemka iliyopo
wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck
Sadiki..Picha zote na mahmoud ahmad globu ya jamii
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni