Mwandishi
 wa Habari wa ITV na Redio One Khalfan Liundi (Mwenye shati jeupe) 
akitoka katika kituo cha Polisi cha Usariver Mara baada ya kupata 
dhamana,alikamatwa kufuatia amri ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexender 
Mnyiti kwa kutuhumiwa kuandika habari za uchochezi picha na mahmoud 
ahmad waglobu ya jamii arusha 
 
 
 
 
 
  
 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni