Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) anayechukua nafasi ya Mhe. Jaji Mstaafu Damian Lubuva
aliyemaliza Muda wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mhe.
Jaji Semistocles Kaijage akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kiapo
cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Mstaafu Hamid Mohamed Hamid kuwa Makamu kuwa Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapishaJaji
Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Mhe. Jaji Harold Nsekela kuwa Kamishna wa
Maadili katika Sekretariat ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Rehema Kiwanga Mkuye kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Sivangilwe Sikalaliwa Mwangesi kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
vitendea kazi Mhe. Jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Jaji Jackobs Mwambegele kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim
Majaliwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa wakiwa katika picha
ya pamoja na Majaji wa Mahakama za Rufani leo Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa wakiwa
katika picha ya pamoja na Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC) (wakwanza kushoto) na aliyekuwa Mhe. Jaji Mstaafu Damian Lubuva
aliyemaliza muda wake.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni