JAJI MKUU AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA KIWANJA CHA MAHAKAMA-DODOMA


Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa upandaji miti, kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, kushoto ni Mhe. Ferdinand Wambali,Jaji Kiongozi Mahakama Kuu ya Tanzania. 
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akipanda mti wake. 
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akipanda mti. 
Watumishi na Wadau mbalimbali nao walishiriki katika zoezi la kupanda miti. 





Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe.Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza jambo, ameipongea Mahakama kwa kupata eneo zuri kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania. 
Jaji Muumuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akitoa neno kabla ya uzinduzi rasmi wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Kiwanja cha Mahakama itakapojengwa jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania mkoani Dodoma. 




Baadhi ya wafanyakazi wa Mahakama na wadau mbalimbali wakiwa katika tukio hilo. 
Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu-Kanda ya Dodoma, Mhe. Mwanaisha Kwariko akizungumza katika Sherehe hizo. 
(Picha na Mary Gwera)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni