WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA VIONGOZI WA MRADI WA JUMUIYA YA ULAYA DIVISHENI YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA


????????????????????????????????????
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo alipokutana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Ulaya Divisheni ya Kupambana na Dawa za Kulevya walipomtembelea Bungeni Aprili 06, 2018.
????????????????????????????????????
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza Mmoja wa viongozi wa Barozi ndogo Charles Stuart walipomtembelea Bungeni leo Dodoma.
????????????????????????????????????
Kiongozi wa msafara wa wageni kutoka Mradi wa Jumuiya ya Ulaya Divisheni ya Kupambana na Dawa za Kulevya Bw.Thomas Carter akizungumza jambo kuhusu mipango ya mradi huo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama Bungeni Dodoma.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akifafanua jambo wakati wa kikao cha viongozi wa Mradi wa Jumuiya ya Ulaya Divisheni ya Kupambana na Dawa za Kulevya Bungeni Aprili 6, 2018
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akizungumza na baadhi ya viongozi wa Mradi wa Jumuiya ya Ulaya Divisheni ya Kupambana na Dawa za Kulevya walipomtembelea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama Dodoma.
????????????????????????????????????
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisalimiana na Kiongozi wa Msafara Bw. Kiongozi wa msafara wa wageni kutoka Jumuiya ya Ulaya Divisheni ya Kupambana na Dawa za Kulevya Bw.Thomas Carter walipomtembelea Bungeni.
????????????????????????????????????
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi kutoka Mradi wa Jumuiya ya Ulaya Divisheni ya Kupambana na Dawa za Kulevya Bungeni Dodoma.
 (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni