Waombolezaji wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa mkoa wa Lindi, Alhaji Ali Mtopa kwenye kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa Aprili 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj, Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Apili 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumwombea Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa wakati aposhiriki katika mazishi ya Mwansiasa huyo yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waombolezaji wakishiriki katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa kwenye kijiji cha Nanjilinji wialyani Kilwa Aprili 11, 20918. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya Mwanasiasa na Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni