Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa viti maalum (Mara), Agnes Marwa, bungeni mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akizungumza na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega bungeni mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Suleima Jaffo, akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene (kushoto) na Naibu Waziri wa Viwanda na biashara, Stella Manyanya (katikati) bungeni mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na waumin wa Kiislam wakisikiliza mawaidha kutoka kwa Sheikh Sharif Badawi Ahmed, kutoka Mombasa nchini Kenya wakati alipohudhuria ibada ya Ijumaa, katika msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajab Shaaban, wakati alipohudhuria ibada ya Ijumaa, katika msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waumini wa Kiislamu, wakati alipohudhuria ibada ya Ijumaa, katika msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni