Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya
Utalii TTB Bi. Devotha Mdachi na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege
la Tanzania ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi wakisaini mkataba wa
ushirikiano katika kutangaza utalii wa Tanzania na Huduma za shirika la
Ndege la ATCL katika hafla iliyofanyika kwenye makao makuu ya TTB
Kinondoni jijini Dar es salaam huku Mwenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya (ATCL), Emmanuel Korosso na
Mwenyekiti wa Bodi ya TTB Jaji Mstaafu Thomas Mihayo pamoja na
wanasheria wa mashirika hayo wakishuhudia tukio hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya
Utalii (TTB) Bi. Devotha Mdachi na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Ndege la Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi wakibadilishana
hati za mkataba wa ushirikiano katika kutangaza utalii wa Tanzania na
Huduma za shirika la Ndege la (ATCL) katika hafla iliyofanyika kwenye
makao makuu ya (TTB) Kinondoni jijini Dar es salaam huku Mwenyeviti wa
Bodi ya Wakurugenzi ya (ATCL), Emmanuel Korosso na Mwenyekiti wa Bodi ya (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo wakishuhudia tukio hilo.
Mwenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (ATCL),
Emmanuel Korosso kushoto na Mwenyekiti wa Bodi ya (TTB) Jaji Mstaafu
Thomas Mihayo wakikata utepe kuzindua jarida lenye maelezo kuhusu
masuala mbalimbali yanayohusu utalii wa Tanzania na vivutio vyake pamoja
na maelezo kuhusu huduma za usafiri wa Anga za Shirika la Ndege la
Tanzania ATCL litakalopatikana pia kwenye ndege za ATCL.
Mwenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (ATCL), Emmanuel Korosso kushoto na Mwenyekiti wa Bodi ya (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo wakionyesha jarida hilo mara baada ya kulizindua rasmi.
Mwenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (ATCL), Emmanuel Korosso kushoto akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kusainiwa kwa mkataba huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo kulia akizungumza na waandishi katika hafla hiyo.
Baadhi ya maofisa wa ATCL na TTB
kutoka kulia ni Mussa Kopwe Meneja Utawala na Rasilimali Watu kutoka
TTB , Lilian Fungamtama Ofisa Masoko wa ATCL na Geofrey Meena Meneja
Masoko TTB.
Mwenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (ATCL), Emmanuel Korosso kushoto na Mwenyekiti wa Bodi ya (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo wakiwa
katika picha ya pamoja kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii
TTB Bi. Devotha Mdachi na Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Ndege la ATCL Mhandisi Ladslaus Matindi.
Mwenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (ATCL), Emmanuel Korosso kushoto na Mwenyekiti wa Bodi ya (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo wakiwa
katika picha ya pamoja kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii
TTB Bi. Devotha Mdachi na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la
ATCL Mhandisi Ladslaus Matindi pamoja na maofisa wengine wa TTB.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Utalii TTB pamoja na maofiza wa Wizara ya Maliasili na Utalii na TTB wakiwa katika hafla hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni