BASI LAPATA AJALI NA KUUWA WANAFUNZI WATANO NCHINI MAREKANI


Dereva wa basi aliyekuwa akiwasafirisha wanafunzi 35 nchini Marekani amekamatwa baada wanafunzi 5 kufa kufuatia kutokea ajali mbaya ya basi hilo.

Dereva huyo Johnthony Walker, 24, amfunguliwa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuua bila ya kukusudia, uendeshaji gari vibaya na kuhatarisha maisha.

Basi alilokuwa akiendesha Walker lilianguka na kuugonga mti na kusababisha vifo vya wanafunzi watano.


 Mwanamke mmoja akiwa na watoto watatu waliokuwa na majeraha mwilini baada ya kupata ajali

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni