Mkurugenzi
wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya Mafunzo katika
Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo
(Wakwanza kushoto), alipokutana naye na kufanya mazungumzo katika
Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salam. Bo na ujumbe wake wapo katika ziara ya mafunzo kwa
mwaliko wa Chama Cha Mapinduzi. Wapili ni Kaimu Balozi wa China hapa
Nchini, Gou hao Domg. Na walioketi kulia, ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Dar es Salaam, Ramadhan Madabida na Katibu wa NEC, Sisa na Ushorikiano
wa Kimataifa, Dk. Pindi Chama.
KATIBU
Mkuu wa CCM, Abdulrahman akimsalimia Mkurugenzi wa Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya mafunzo katika Chuo Cha
Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo kabla ya
kuanza mazungumzo katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam. Bo na ujumbe wake wapo katika
ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Mapinduzi.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Kaimu Nalozi wa China hapa
nchini, Gou Hao Dong, alipowasili katika ukumbi wa Sekretarieti kwa
ajili ya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa
na Maendeleo ya mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama
Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo (katikati)
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akijiandaa kukaa tayari kwa mazungumzo na Jia Bo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Dar es Salaam, Ramadhani Madabida alipowasili ukumbini. Madabida ndiye
Mwenyeji wa ujumbe huo wa China
KATIBU
Mkuu wa CCM, Abdulrahman akiiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano
wa Kimataifa na Maendeleo ya mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi
cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo katika picha ya pamoja na
ujumbe wa CCM na CPC, baada ya mazungumzo katika Ukumbi wa Sekretarieti,
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam. Bo na
ujumbe wake wapo katika ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha
Mapinduzi.
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman akiagana na Kaimu Balozi wa China hapa nchini, Gou Hao Dong, baada ya mazungumzo.
Balozi
wa China hapa nchini, Gou Ho Dong akiagana na Katibu wa NEC, Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana baada ya mazungumzo hayo. Kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, ramadhani Madabida.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni