MAJALIWA AENDA OFISINI KWAKE DODOMA KWA MGUU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Novemba 21, 2016 asubuhi aliamua kutembea kwa mguu kutoka makazi yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake barabara ya Reli mjini Dodoma . Pichani, Mheshimwa Majaliwa akilekea Ofisini kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni