Fidel Castro akiwa ameunyanyua juu mkono wa mdogo wake rais Raul Castro katika mkutano ambao alijitabiria kuwa kifo chake kipo karibu
Fidel Castro akiongea na waandishi wa habari Washington D.C mnamo mwaka 1959
Fidel Castro akipewa pole na rais wa Venezuela Hugo Chavez aliyeenda kumtembelea wakati akiugua mwaka 2008
Fidel Casro akitoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1960 ambapo aliweka rekodi ya kutoa hotuba ndefu kuliko zote kwa kutumia dakika 269
Fidel Castro akisalimiana na Papa John Paul II katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jose Marti Havana hii ilikuwa mnamo mwaka 1998
Mwanamapinduzi Ernesto 'Che' Guevara akiteta jambo na Castro na rais wa Cuba Osvaldo Dorticos mnamo mwaka 1960
Fidel Castro akicheza mchezo wa Baseball Jijini Havana Agosti 1964
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni