TRENI ZAGONGANA NCHINI IRAN NA KUUWA WATU 31

Watu wapatao 31 wamekufa na makumi kuumia katika ajali ya treni kugongana kaskazini mwa Iran.


Katika ajali hiyo mabehewa manne yaliacha njia, mawili kuwaka moto, kufuatia treni ya mwendo kasi kugongana na treni nyingine mapema leo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni