Rais Barack Obama ametoa kwa mara ya mwisho medali zinazotolewa na rais za Uhuru, kwa majina makubwa ya nyota wa Hollywood, wanamichezo pamoja watu wenye kujitolewa kusaidia jamii. 
                       Rais Barack Obama akimvalisha medali mwanamuziki Diana Ross 
                    Rais Barack Obama akimvalisha medali muigizaji filamu Tom Hanks 
             Rais Barack Obama akimvalisha medali muigizaji filamu Robert De Niro
                Rais Barack Obama akiwa amemvalisha medali mchekeshaji Ellen DeGeneres
Rais Barack Obama akimvalisha medali mchezaji wa mpira wa kikapu nyota wa zamani Kareem Abdul-Jabbar 






Hakuna maoni:
Chapisha Maoni