Mwanaume mmoja nchini Australia amewasha moto kwenye benki moja Jijini Melbourne na kujichoma moto pamoja na kujeruhi watu wengine 26.
Polisi wamesema watu sita kati ya majeruhi hao wapo katika hali mbaya, huku wengine wakiwa wameungua na kuvuta moshi, wakiwemo watoto.
Polisi wamesema mtuhumiwa huyo aliingia kwenye tawi la benki ya Commonwealth, katika kitongoji cha Springvale na kutumia mafuta yanatowaka kusha moto.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni