Baraka Da Prince na Nandy wakitumbuiza katika jukwaa la Fiesta usiku wa jumamosi katika viwanja vya Amri Sheikh abeid karume Jijini Arusha |
Barnaba akiburudisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Arusha |
Benpol akiwa na Mcheza shoo wake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jumamosi Jijini Arusha |
Mashabiki wakimshangilia Benpol |
Mkali wa Muziki wa Rhumba Christian Bella akiburudisha mashabiki wa muziki katika jukwaa la Tigo Fiesta |
Darasa akionesha umahir kughani katika jukwaa la Tigo fiesta |
Dogo Janja kwa style yake akitumbuiza katika Jukwaa la fiesta Jijini Arusha |
Feza Kessy akionesha umahiri wake katika jukwaa la Fiesta jijini Arusha |
Jambo SQUAD |
Linah naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta jijini Arusha |
Mr Blue |
Vanesa Mdee akiburudisha mashabiki wake katika Jukwaa la Tigo Fiesta |
Weusi wakishambulia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa Jumamosi |
Maelfu ya wakazi wa Arusha wakishuhuhida burudani kali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni