Timu ya TTCl "GENERATION T" wakipanga mikakati
Timu ya TTCl wakiwa katika picha ya pamoja
Wachezaji wa TTCL na NSSF wakipeana mikono kabla ya mchezo huo kuanza, katika kiwanja cha TPDC
Ndinga limeanza
Kona kuelekea lango la NSSF
Mabeki wa TTCL wakiwa ngangari
Hapiti mtu kirahisirahisi ngome ya TTCL
Mchezaji wa TTCL Samuel Uwiso akipewa matibabu kutoka kwa Dokta wa timu baada ya kuumia msuli katika mechi ya TTCL na NSSF.
Wachezaji wakipeana mikono baada ya mchezo kumalizika kati ya TTCL na NSSF, TTCL kuibuka na ushindi wa magoli 2 .
1. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Bw Waziri Waziri Kindamba akiwapongeza na
wachezaji wa TTCL baada ya mechi kumalizika na ushindi wa Magoli 2 dhidi
ya NSSF, katika kiwanja cha TPDC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni