MRAJISI
wa mahakama kuu Zanzibar George Joseph Kazi, akimueleza jambo rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein,
wakati alipolitembelea jengo la mahakama kuu Chakechake Pemba, baada ya
kufanyiwa matengenezo makubwa na kulizindua, (Picha Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa
Zanzibar na Mawenyekiti wa baraza la mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein
akiwa na Jaji mkuu wa Zanzibar Mhe: Omar Othman Makungu, wakitoka nje ya
jengo la mahakama kuu Chakechake, ambalo baada ya kufanyiwa mtengenezo
makubwa, sasa limeshazinduliwa rasmi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
PICHA ya
pamoja baina ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi
dk Ali Mohamed na viongozi wakuu wa mahakama, mawaziri mara baada ya
rais huyo, kulizindua jengo hilo la Mahakama kuu Chakechake Pemba,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa
Zanzibar dk: Ali Mohamed Shein pamoja na watendaji wa mahakama kuu
wakielekea kwenye uwanja wa Tenis Chakechake, ili kuwahutubia wananchi
na wafanyakazi wa mahakama, mara baada ya kulizindua jengo la mahakama
kuu Chakechake Pemba, ambalo liliofanyiwa matengenezo makubwa hivi
karibuni, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein
akipiga kofi, mara baada ya kuwasili uwanja wa Tenis Chakechake Pemba,
baada ya kulizindua jengo la mahakama kuu Chakechake Pemba, kulia ni
Naibu waziri wa Katiba na sheria, Khamis Juma Maalim na kushoto ni Jaji
mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya
wananchi, wafanyakazi wa serikali na wapiganaji wa vikosi vya ulinzi na
usalama waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la mahakama kuu
Chakechake Pemba, wakimsikiliza rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza
la Mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein, kwenye hafla iliofanyika uwanja wa
Tenis Chakechake kisiwani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi dk: Ali Mohamed Shein
akiwahutubia wafanyakazi wa idara za mahakama, wanasheria na wananchi
waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la mahakama kuu Chakechake
Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni