MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI KUZUNGUMZIA NAMANA YA KUWASAIDIA WAATHIRIKA TETEMEKO KAGERA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida kuhusu namna ambavyo Japan inaweza kusaidia waathika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Mazungumzo yao yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Septemba 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan nchini,  Masaharu Yoshida kuhusu namna  ambavyo Japan inaweza kusaidia waathika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Mazungumzo yao yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Septemba 19, 2016. Kulia ni Mwakilishi Mkuu wa JICA nchini, Toshio Nagase. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni