Mwanamuziki Ciara mwenye mafanikio
ya mauzo ya platinum na Serena Williams bingwa maarufu wa tenesi
wameonekana pamoja wakiwa wenye furaha kwenye wiki ya mitindo ya
Milan.
Ciara na Serena Williams
wamekutanisha matunda ya vipaji vyao na kuponda raha wakati wa wiki
hiyo ya mitindo ya Milan, ambapo wameonekana jana wakiwa wamevalia mavazi ya Guiseppe Zanotti.
Serena Williams akiwa anaangalia simu yake akiambatana na Ciara na mwanaume mtu mzima ambaye jina lake halikuweza kujulikana
Mwanamke mmoja akionekana akimuongelesha Serena Williams ambaye alikuwa bize na simu yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni