Mshindi
wa Taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Laura Kwai
akipunga mkono kwa mashabiki wa ulimbwende mara baada ya kutangazwa
kutwaa taji hilo jana katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni mshindi wa pili wa taji la TTCL Miss Higher Learning
Institutions 2016, Evelyn Andrew pamoja na mshindi wa tatu wa taji la
TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Clara Nyaki (kulia).
Shindano hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL). Mshindi

wa taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2015 (kushoto)
akimvisha Mshindi mpya wa Taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions
2016, Laura Kwai (aliyeketi) mara baada ya kutangazwa kutwaa taji hilo. Hellen
George a.k.a 'Ruby' akitumbuiza kwenye shindano la TTCL Miss Higher
Learning Institutions 2016 jana katika Ukumbi wa King Solomoni jijini
Dar es Salaam. Shindano hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Simu nchini
Tanzania (TTCL). Meneja
Masoko wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Beda Kinunda
(kushoto) akimtangaza mshiriki Glory Gidion kuwa balozi wa TTCL kutoka
katika shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016. Mshiriki
huyo atasaini mkataba wa kufanya kazi na TTCL kutangaza huduma na
bidhaa za kampuni hiyo. Baadhi
ya maofisa wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) na wadhamini wakuu
wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakifuatilia
matukio anuai katika mchuano huo wa walimbwende wasomi kutoka vyuo
mbalimbali nchini jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa TTCL (kulia) ambao ni wadhamini wakuu wa Shindano la
TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakiwasajili kupata laini
baadhi ya wapenzi wa ulimbwende waliovutiwa na huduma za kampuni hiyo
katika mchuano huo wa walimbwende wasomi kutoka vyuo mbalimbali nchini
jana. Baadhi
ya maofisa wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) na wadhamini wakuu
wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakifuatilia
matukio anuai katika mchuano huo wa walimbwende wasomi kutoka vyuo
mbalimbali nchini jana jijini Dar es Salaam. Baadhi
ya wafanyakazi wa TTCL (kulia) ambao ni wadhamini wakuu wa Shindano la
TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakiwasajili kupata laini
baadhi ya wapenzi wa ulimbwende waliovutiwa na huduma za kampuni hiyo
katika mchuano huo wa walimbwende wasomi kutoka vyuo mbalimbali nchini
jana. Baadhi
ya wafanyakazi wa TTCL (kulia) ambao ni wadhamini wakuu wa Shindano la
TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakiwasajili kupata laini
baadhi ya wapenzi wa ulimbwende waliovutiwa na huduma za kampuni hiyo
katika mchuano huo wa walimbwende wasomi kutoka vyuo mbalimbali nchini
jana. Sehemu
ya wadau na wapenzi wa masuala ya urembo wakiwa katika mapozi ya picha
kwenye Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 jana.
Sehemu
ya Jopo la Majaji wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions
2016 wakijadiliana jambo kabla ya kutoa matokeo kwenye shindano hilo
jana.
Baadhi
ya wafanyakazi wa TTCL ambao ni wadhamini wakuu wa Shindano la TTCL
Miss Higher Learning Institutions 2016 wakiwa katika mchuano huo wa
walimbwende wasomi kutoka vyuo mbalimbali nchini jana. Sehemu
ya wadau na wapenzi wa masuala ya urembo wakifuatilia michuano ya
Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 ukumbini.
Baadhi ya Washiriki wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakichuana katika miondoko mbalimbali ya mavazi. Baadhi ya Washiriki wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakichuana katika miondoko mbalimbali ya mavazi. Sehemu
ya wadau na wapenzi wa masuala ya urembo wakifuatilia michuano ya
Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 ukumbini.
Sehemu ya Washiriki wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakichuana katika miondoko mbalimbali ya mavazi.
Sehemu ya Washiriki wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakichuana katika miondoko mbalimbali ya mavazi. Washiriki
wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 walioingia
tano bora wakichuana katika kujibu maswali ya uelewa na kijamii. Msanii
Navy Kenzo akifanya vitu vyake kwenye shindano la TTCL Miss Higher
Learning Institutions 2016 jana katika Ukumbi wa King Solomoni jijini
Dar es Salaam. Shindano hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Simu nchini
Tanzania (TTCL). Meneja
Masoko wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Beda Kinunda
(kushoto) akimtangaza mshiriki Glory Gidion kuwa balozi wa TTCL kutoka
katika shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016. Mshiriki
huyo atasaini mkataba wa kufanya kazi na TTCL kutangaza huduma na
bidhaa za kampuni hiyo.
Mratibu
wa shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Bi. Maya
Nkiru (kushoto) akitangaza zawadi kwa washindi na washiriki wa shindano
hilo. Mshindi wa taji hilo amepata udhamini wa masomo katika chuo
chochote nchini pamoja na fedha taslimu milioni moja.
Baadhi
ya maofisa na wafanyakazi wa TTCL ambao ni wadhamini wakuu wa Shindano
la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakipiga picha na Balozi
wa TTCL, Glory Gidion mara baada ya kumaliziki kwa shindano hilo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni