KIMBUNGA HERMINE CHAUWA WATU WAWILI MAREKANI


Mvua inayombatana na kimbuka kiitwacho Hermine imeuwa watu wawili nchini Marekani huku kimbuka hicho kikielekea kwa kasi eneo la kaskazini.

Majimbo ya kaskazini mashariki mwa Marekani yametahadharishwa kuhusiana na mvua hiyo ya kimbunga inayoeleke upande wa pwani.
                                                             Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji
                   Kimbunga hicho chenye nguvu kililiangusha lori hili kama linavyoonekana hapa 
                            Mti ulioangukia paa la nyumba ukiondolewa vikosi vya uokoaji

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni