Tetemeko la ajabu laikumba kanda ya ziwa.

Tetemeko la ajabu la ardhi laikumba kanda ya ziwa lauwa 10 na kujeruhi 100.Kamanda wa polisi Bukoba Augustine Olomi athibitisha 
Picha zikionyesha majengo mbalimbali yalivyo haribiwa na tetemeko hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni