Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof.Joyce Ndalichako (wa kwanza
kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu)
Dkt. Hamisi Mwinyimvua wakati walipotembelea shule ya sekondari ya
Nyakato kujionea athari za maafa ya tetemeko la ardhi Mkoani Kagera
Septemba19, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa
kwanza kushoto) akizungumza wakati wa ziara yake alipotembelea shule
zilizopata athari za maafa ya tetemeko la ardhi mkoani Kagera, wa kwanza
kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof.Joyce
Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua
(kulia) akiangalia jengo la ofisi ya walimu lililoathiriwa na maafa ya
tetemeko la ardhi katika shule ya sekondari ya Mugeza Mkoani
Kagera.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya majengo ya shule ya sekondari ya Ihungo yariyobomoka kutokana na
athari za maafa ya tetemeko la ardhi Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni