Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akilakiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na Maendeleo
ya Watoto Mhe. Agnes Musunga mara baada ya kutua katika Uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu
Septemba 12, 2016 tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
rais wa sita wa nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13,
2016 katika uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni