Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama samaki aina ya pweza wakati
alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni
wilayani Mfia Septemba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bi. Mwanalingwe Shani Juma akiwa
na mwanane mchanga, Ngweshani Khatibu wakati alipotembelea wodi ya
wazazi katika hospitali ya wilaya ya MafiaSptemba 24, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni