MKUTANO WA WADAU WA UTALII KUFANYIKA MKOANI ARUSHA
posted on
Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Mrisho Gambo,akizungumza na waandishi wa habari wa
Arusha,akiwaelezea juu ya mkutano mkuu wa wadau wa Utalii utakaofanyika
Septemba 22,2016 katika ukumbi wa Mbayuwayu (AICC).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni