Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof.Abdulkarim Mruma
akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi
Bi. Maimuna Tarishi maeneo sahihi ya ujenzi wa majengo katika shule ya
sekondari Ihungo.
Mkufunzi
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Jiolojia akimuonesha Katibu Mkuu
Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi Bi. Maimuna Tarishi maeneo
sahihi ya ujenzi wa majengo katika shule ya sekondari Ihungo.
Mkufunzi
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Jiolojia akimuonesha Katibu Mkuu
Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi Bi. Maimuna Tarishi ramani
ya maeneo katika maeneo sahihi ya ujenzi wa majengo katika shule ya
sekondari Ihungo.
Wataalam
wa Miamba (JIOLOJIA) na Wasanifu Majengo wakiondoka katika eneo
walilokuwa wakilifanyia upembuzi kwa ajili ya ujenzi wa majengo mapya ya
katika shule ya sekondari Ihungo.
Wataalam
wa Miamba (JIOLOJIA) na Wasanifu Majengo wakifanya mjumuisho baada ya
kukamilisha mapitio na upembuzi wa maeneo sahihi ya ujenzi wa majengo
katika shule ya sekondari Ihungo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni