Mtu mmoja ameripotiwa kufa na makumi
kujeruhiwa, baadhi yao vibaya mno baada ya treni kugonga stesheni
katika jimbo la New Jersey nchini Marekani.
Treni hiyo imeripotiwa kugonga
kizuizi cha eneo la tiketi na kuingia katika eneo la mapokezi la
stesheni ya Hoboken.
Watu waliojeruhiwa wakiwa wamelazwa kwenye machela maalum za magari ya wagonjwa
Mwanamke aliyejeruhiwa akiwa amewekewa kifaa maalum cha hewa ya oxygen
Waokoaji wakiangalia ndani ya treni kuangalia kama kuna watu waliojeruhiwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni