Mwanamuziki Janet Jackson ambaye ni
mjamzito kwa sasa ameonekana akiwa anafanya manunuzi Jijini London
mapema wiki hii.
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa
miaka 50 anatarajia kupata mtoto na mumewe Wissam Al Mana, alionekana akifanya
manunuzi katika duka la Back In Action Jijini London.
Janet dressed alikuwa amevalia juu
fulana na chini suruali pana ya traksuti alionekana akiwa bado na
mvuto na muonekano mzuri licha ya kutopaka vipodozi.
Mwanamuziki Janet Jackson akitoka ndani ya duka la bidhaa Jijini London
Janet Jackson akiingia kwenye gari alilotumia kwenda kufanya manunuzi
Janet Jackson akiwa na mumewe Wissam Al Mana picha hii walipiga Oktoba 2010
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni