Muigizaji filamu nguli wa Hollywwod
Arnold Schwarzenegger amekutana na mchezaji soka nyota wa Brazil
Neymar wakati mkongwe huyo alipotembelea mazoezi ya timu ya Barcelona
jana.
Schwarzenegger, ambaye ni marufu kwa
filamu yake ya 'The Terminator', alipata muda wa kupiga picha na
Neymar na alionekana kufurahia kukutana naye na kusema ni bingwa wa
kweli.
Akitumia instagram yake
Schwarzenegger ameandika kuwa 'anafarijika kuanza @arnoldsports
Europe kwa kukutana na bingwa wa kweli @neymarjr! Ni jambo kubwa
kukutana na wewe rafiki wa kweli !'.
Arnold Schwarzenegger akipiga Selfie na Neymar
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni