Wachezaji
wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti
Boys, wakijifua kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali
Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya
Congo. Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili
ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye
Makutano ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha
na Alfred Lucas wa TFF)
Kocha
wa Makipa wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 -
Serengeti Boys, Muharami Mohammed maarufu kwa jina la Shilton (wa pili
kushoto) akiwanoa vijana wake, Kelvin Kayego (kushoto), Ramadhani
Kabwili (wa tatu kushoto) na Samwel Brazio kwenye Uwanja wa Seminari Kuu
ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu
la Brazzaville, Jamhuri ya Congo. Serengeti Boys inajiandaa kucheza na
vijana wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Alphonse
Massamba-Débat ulioko kwenye Makutano ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa
jijini Brazzaville. (Picha na Alfred Lucas wa TFF)
Madaktari
wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti
Boys, Dk. Sheicky Mngazija (kushoto) na Gilbert Kigadye wakifuatilia kwa
karibu mazoezi ya timu kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya
Kardinali Emile Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville,
Jamhuri ya Congo. Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo,
Jumapili ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat
ulioko kwenye Makutano ya Barabara za Nkolo na Boko, hapa jijini
Brazzaville. (Picha na Alfred Lucas wa TFF)
Shughuli ilikuwa kati ya Kelvin Nashot Naftal (kushoto) na Zuberi Rashid Ada
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni