Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuliakitoka katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti3, 2016 baada ya kuweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuzuru na kuwekashada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuliakiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katikaofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016. Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. Joseph Pombe Magufuli, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais waKwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu SheikhAbeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibarleo Agosti 3, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph PombeMagufuli, na viongozi wengine wakiomba dua bada ya kuweka shada la mauakwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM MakaoKisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph PombeMagufuli, akiwa na Mama Fatma Karume baada ya kuweka shada la maua kwenyekaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMarehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwanduimjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni