Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa
hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga
Dar es Salaam leo asubuhi.
Swala ikiendelea.
Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni