Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Idara ya Uvuvi katika Wizara
ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe Mwinyi wakati
alipotembelea Eneo lilatakalojengwa Soko la samaki,Malindi Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani) akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakati alipotembelea katika maeneo ya Bandari ya majahazi alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Msimamizi Mkuu wa mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Bwawani (STONE TOWN VILLAGE LTD) Syed Mansour Hussein alipotembelea ujenzi wa Hoteli hiyo leo, [Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Viongozi baada ya kutembelea Eneo litakalojengwa Ofisi za Benki ya Watu wa PBZ Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiuliza suala kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Kapteni
Abdalla Juma (mwenye kipaza sauti) wakati alipotembelea Eneo la chelezo
Malindi wakati akiwa katika ziara maalum ya kutembelea lilatakalo
jengwa Soko la samaki,Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na
Ikulu.]19/09/2016.
Baadhi ya Akina Mama wanaofanya bishara ya kuuza chakula katika maeneo
ya Bandari ya majahazi wakimuangalia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Ujumbe wake
wakati alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na
Ikulu.]19/09/2016. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani) akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakati alipotembelea katika maeneo ya Bandari ya majahazi alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Msimamizi Mkuu wa mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Bwawani (STONE TOWN VILLAGE LTD) Syed Mansour Hussein alipotembelea ujenzi wa Hoteli hiyo leo, [Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Msimamizi Mkuu wa mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Bwawani
(STONE TOWN VILLAGE LTD) Syed Mansour Hussein alipotembelea ujenzi wa
Hoteli hiyo leo, [Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ pia Mshauri wa Rais Mambo ya Uchumi Mzee
Abdulrahman Mwinyi Jumbe wakati akiangalia ramani za ujenzi na
kutembelea Eneo litakalojengwa Ofisi za Benki ya Watu wa Zanzibar
Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Viongozi baada ya kutembelea Eneo litakalojengwa Ofisi za Benki ya Watu wa PBZ Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni