Timu ya Barcelona imetangaza kuwa
itaikatia rufaa kadi ya njano aliyopewa mshambuliaji wao nyota Lionel
Messi katika mchezo wa jumapili walioshinda magodi 2-1 dhidi ya
Sevilla.
Messi alilambwa kadi ya njano katika
kipindi cha pili kwa kupoteza muda wakati akijaribu kuvaa kiatu chake
kilichomvuka baada ya kukabwa na Steven N'Zonzi wa Sevilla.
Lionel Messi akijaribu kumuonyesha refa kuwa kiatu ndio tatizo baada ya kupewa kadi ya njano
Lionel Messi akionekana kumshanga refa kwa uamuzi wake huo huku refa huyo akionyesha mkono ngoma ianze
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni