Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA
ambaye
pia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara alipokutana naye
kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Jenerali Michael
Isamuhyo alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumanne Oktoba 8, 2016
Picha na IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni