Mwanamuziki nyota Christian Bella akikonga nyoyo za maelfu ya wananchi
wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe
Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti
12, 2016
Mwanamuziki nyota Christian Bella akitumbuiza maelfu ya wananchi wa
jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe
Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti
12, 2016
Mwanamuziki
nyota Christian Bella akiimba mbele ya maelfu ya wananchi wa jiji la
Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph
Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
Mwanamuziki nyota Christian Bella akipongezwa kwa kukonga nyoyo za
maelfu ya wanannchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini
Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwanamuziki nyota Christian
Bella baada ya kukonga nyoyo za maelfu ya wanannchi wa jiji la Mwanza
wakati wa mkutano wa hadhara wa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza
Ijumaa Agosti 12, 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni